|
Article in other languages: |
Jina la kisanyansi "amfibia" linaunganisha maneno mawili ya Kigiriki ἀμφί amphi yaani "pande zote mbili" na βίος bios yaani "maisha" kwa jumla "maisha pande zote mbili" yaani ndani ya maji na kwenye nchi kavu. Chanzo cha maisha yao ni mayai yaliyotegwa kwenye maji. Amfibia mdogo anatoka kwenye yai katika umbo la ndubwi anayeishi ndani ya maji bila miguu na kupumua kwa yavuyavu ikiwa na mkia. Inaendelea kubadilika na kukuza miguu hadi kutoka kwenye maji ma kufikia umbo la mnyama mzima anayepumua kwa mapafu. Spishi chache zimeendelea na zinaweza kuzaa bila maji. Wadogo wanafikia umbo la ndubwi na kuendelea na metamofosi ndani ya yai hadi kutoka kwa umbo mzima. Spishi kadhaa zinatunza mayai ndani ya mwili hivi zinazaa wadogo hai. Amfibia ni wala nyama wanakula viumbe vidogo hasa wadudu. Kuna takriban spishi 5,700 za amfibia. Uainishaji
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Questions for article: sistem pencernaan pada amphibi, alat gerak ordo anura, alat pernapasan pada katak, amfibier er poikiloterme, amphibia gymnophiona, caecilia vodozemci, chordata kelas amphibia, gambar sistem pencernaan pada amphibi, hewan yang hidup di dua tempat air dan darat, kahepaiksed amfibia, katak dan kodok ordo anura |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
IHS Europe: Infrared Heating Systems for Home and Business.