|
Article in other languages: |
Ufalme wa Uarabuni wa Saudia (المملكة العربية السعودية, al-mamlaka al-'arabiyya as-sa'audiyya ) ni nchi kubwa kati ya nchi za Bara Arabu. Imepakana na Yordani, Iraq, Kuwait, Qatar, Bahrain, Falme za Kiarabu, Oman na Yemen. Kuna pwani la Ghuba la Uajemi upande wa kaskazini-mashariki na Bahari ya Shamu upande wa magharibi. Mara nyingi inaitwa "al-haramain" yaani nchi ya mahali patakatifu pawili kwa kumaanisha miji ya Makka na Madina ambayo ni patakatifu pa Uislamu. Jina la nchi limefuata familia ya watawala wa familia ya Saud. Tazama pia
Questions for article: mfalme wa saudi arabia, saudiasex, saudiasex free, saudiasex.com, sex in saudia, www.saudia sex.com, www.saudiasex, www.saudiasex.com |
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.
IHS Europe: Infrared Heating Systems for Home and Business.